Search

50 results for Rashid Aziz :

  1. Inonga ageuka kocha Simba  ikivuna pointi 3

    Licha ya uwepo wa Juma Mgunda na msaidizi wake, Seleman Matola beki Mkongomani wa Simba, Henock Inonga ambaye alikuwa kati ya wachezaji wa akiba aligeuka kocha katika mchezo wa Ligi Kuu Bara...

  2. Namna lugha inavyoweza kuathiri biashara ya huduma za kifedha

    Kiswahili ni lugha kuu inayotumika na Watanzania wengi wanaotumia huduma rasmi za kifedha nchini. Taarifa za Ripoti ya Utafiti wa Maoni ya Watumiaji wa Huduma za Kifedha nchini (Finscope,2023)...

  3. Michango ya harusi inavyowaumiza Watanzania kiuchumi

    Sherehe za harusi zifanyike kulingana na uwezo wa familia, ufahari wa harusi haumaanishi kuwa ndio ndoa bora, na upangaji wa michango uzingatie hali za watu kifedha na kimaisha.

  4. PRIME Jinsi ilivyokuwa siku moja kabla ya muungano, usiri watanda

    Robo ya kwanza ya mwaka 1964 ilikuwa na matukio mengi kwa siasa za Tanganyika na Zanzibar kuliko wakati mwingine wowote. Haijulikani hasa ni nini kilichomsukuma Rais wa Tanganyika, Mwalimu Julius...

  5. Fanya haya kuepuka kuibiwa fedha zako mtandaoni

    Taarifa ya (BOT) iliyotolewa hivi karibuni kuhusu mwenendo wa upotevu wa fedha sekta ya benki mwaka 2023, imebainisha kuwa jumla ya Sh4.89 bilioni zimeibwa kupitia vitendo vya ulaghai au udukuzi...

  6. PRIME Jinsi benki zinavyopigwa mabilioni ya fedha

    Benki Kuu ya Tanzania yabainisha Sh10. 28 bilioni zimeibwa ndani ya mwaka mmoja.

  7. Safari za Rais Samia katika tafsiri ya kiuchumi

    Tangu Rais Samia aingie madarakani, Serikali yake imefanya jitihada kubwa katika kuchochea maendeleo ya uchumi wa Tanzania kupitia nyenzo za kidiplomasia kwa kuchukua hatua mbalimbali ili...

  8. Usajili laini za simu waponza kampuni, TCRA yashusha rungu

    Kampuni za huduma za simu nchini zimetozwa faini ya zaidi ya Sh2 bilioni kwa kukiuka kanuni za usajili wa laini ikiwa ni hatua iliyochukuliwa na mdhibiti wa sekta hiyo katika kushughulikia...

  9. Uelewe mfumo wa fedha wa Kiislamu

    Katika miaka ya hivi karibuni, huduma za fedha za Kiislamu zimekuwa mojawapo ya uvumbuzi muhimu katika sekta ya kifedha nchini.

  10. Ulaghai mtandaoni mfupa mgumu, wachumi watoa tahadhari

    Ripoti ya TCRA ya robo ya nne ya mwaka 2023 iliyotoka mwanzoni mwa wiki hii inaonyesha kuwapo kwa matukio 21,788 ya ulaghai katika kipindi cha miezi 3 (Oktoba, Novemba na Desemba)

Page 1 of 5

Next